SIKU NILIPOTONGOZWA NA BABA YANGU FACEBOOK

SIKU NILIPOTONGOZWA NA BABA FACEBOOK

SEHEMU YA PILI
SIKU NILIPOTONGOZWA NA BABA YANGU FACEBOOK
SIMULIZI ZA KWELI
0713592224

Luc:thx
Julius: anyway tutachat baadae ..
Luc; unasafari
Julius;yap naenda kumcheki mama hapo selena amesema nimpitie ..
Luc:ooooh ok..
Julius:have nice time
Luc: u 2.
Julius: thx
Baada ya mazungumzo ya awali  baba fetty alikuwa kashajipa marks za kutosha na nilazima atachukua hicho kifaa haiwezekani kikaruka mtoto toto toto mama luc…du lazima nipate pale huu mwaka wangu du..hawaruki kabisa..
Huku nyuma fetty nae
Akampigia simu pendo na kumsukuru kwa kumfumbua macho maana hana haja ya kuomba pesa kwa mama yeye muda wote wanatumiwa tu pesa kama |M-pesa vile na sasa  ameamini kwamba  FACEBOOK PEKEE YATOSHA  huitaji mtandao mwengine pesa nje nje na muda si mrefu;
Fetty;shoga hii biashara yako du mbona faida nje nje mwezangu..
Pendo:si nilikuwambia mama facebook ndo mpango mzima..
Fetty:ndo habari ya mjini du..
Pendo:mimi  mwezio nampango wa kununua gari nyingine
Fetty:usiniambie shoga
Pendo:ndo hivyo mama…
Fetty:mambo ya fb hayo pesa nje nje mtoto wa kike
Pendo:habari ndo hiyo sasa nifanyeje wametaka wenyewe pilipili acha iwawashe
Fetty:mama nikwambie kitu nimepata kibopa mmoja sasa hivi anaonekana anapesa nyingi kweli.
Pendo:ongeza upendo ongeza msg mpaka aingie line…
Fetty:ndo nachokofanya sasa lazima aombe poo mwenyewe…..
Pendo:haya mama m nataka niende azangu gereg kunafund ananisubiria gari yangu mbovu kigogo
Fetty:mpaka mafund wewe noma…
Pendo:chezea mimi hata gari natengeneza bure…sitoi hata sent…
Fetty:sikuwezi
Pendo;utaniweza mama kazana biashara ndo hiyo mtaji vidole vyako
Fetty:kweli mama…
Pendo:lakini angalia usije ukaacha chuo bure mtoto wa watu kisa  mapesa ya mtandaon..
Fetty:usihofu wangu shule mbele kama tai…
Wakati anamaliza tu kuwasiliana na upendo shoga yake, gafla akaona msg imeingia kwenye inbox yake ya akaunti fek ikisema:kumbe ndo tabia yako hiyo eeeh…….
Kuangalia jina akakuta jina la mwanaume ambaye waliahidiana wakutane siku hiyo lakini hakukutana naye.basi ikabidi ajibu nae msg ;tabia gani?
Mwanaume huyo:kutudanganya na kutuchulia pesa letu bure na kuja kwenye ahadi usije…
Fetty:we baba koma..tena koma kama ulivyokomaa kunyonya titi la mama yako sawa..tuliahidiana na nikakwambia na shida na pesa ziwezi fika huko bila pesa na huwa sipandi dala dala wewe mwenyewe ukatuma pesa sasa sasa hizi ndo tabia yako eeeHHH…kwanza nikuulize ulikuwa unanitakia nini mtoto wa watu kiasi cha kukasirika hivyo ,hatujawahi onana,lakini unakasirika na kunitusi ushaniona m hawara yako sio..sasa kuanzia sasa hata v msg vyako sitaki na ukizidi kunichefua naku block  kabisa..
Mwanaume:sikia mama basi samahani nimekosaa…
Fetty:wewe acha kabisa hapa sio polisi,wala kanisani kwenye kitubio,cha misingi baba tuendelee kuheshimiana na pesa zako nakutafutia nikurudishie ili heshima irudi kwetu pesa ipo sina haja ya kunyanyasika na wanaume njaa ..
Mwanaume:basi poa nita furahi kama utanirudishia..ukishindwa …
Fetty:nishindwe nini sishindwi kukurudishia baba ….
Baada ya hapo fetty alivuta pumzi ndefu kuashiria kwamba alikuwa si kazi rahisi aliyotoka kuifanya na huwa anafanya hiyo kwa wanaume wote anaowalagai na wanapoanza tu kumdai huja juu kama kishada vile …