BIKIRA WA CHUO sehemu 3

SIMULIZI ZA KWELI
BIKIRA WA CHUO
SEHEMU YA TATU
0173592224
www.simulizizakweli.blogspot.com


Joy: mama naumbuka mwezio….
Joari:nini tena mama.. au huyo mzee wako anataka tena…
Joy:bora huyu mzee ni juma..
Joari:kijumaa..ndo shida kilete nikipe dawa….
Joy:mama wewe nitakuletea wangapi wangu sema haka kajuma kamegundua mimi bikira..
Joari:aaaaaaaaaaaaah na wewe banaa sasa kajua
Joy:mama si ile diary yangu wangu…..
Joar:ah aaaaaaaaaaaaaaah sasa mama hayo majanga mpango yote imeharibika mimi nilishakuonya pacha mambo yetu yanakaa kichani sio kwenye diary hukusikia umeona sasa……..omeonaa
Joy:mama naumbuka sasa…naumbuka nipo uchi sasa kila kitu hadharani sasa sijajua amesoma vingapi katika ile diary…
Joar:sasa dawa ni kumuuwa tu..
Joy:nini..
Joar:niajua sana hako kajuma kako kisa huwa ankusaidia mitihani  unataka umfanye wako wa milele na hiyo bikira ndo umeweka zawadi yake ila hato ioja hakika….
Joy:aaaaah mama tutafute mbinu nyingine siyo hiyo pacha…..
Joar:au tutoe hiyo bikira yako…na kisha ukalale na juma ili ajue wewe sio bikira kabisa….na wala asiamini chochote ndani ya hiyo diary…..
Joy::mmmmmmmmmmmmh
Huku joy anaendelea kuchat na pacha wake ,upande wa pili jack anawasili akiwa na lundo la vinywaji mkononi na kashalewa maana alizimia moja yaharaka haraka huko huko dukani..
Akaaza kumchokoza joy,…
Jack:weeeeee joy…mbona hivi mama watoto…tatizo nini..huku akiiza kama wanaume mlevi….
Joy;;ushaaza mwanamke mlevi wewe  mm
Jack:sasa nni na wewe nani mlevi mama yangu…
Joy:wewe….
Jack…basi yaishe mama watoto pokea kiss  akampiga kiss    mmmmwaaaaaaah la shavuni….
Baada ya hapo wakaendelea kunywa huku joy akinywa taratibu mno ili asilewe kabla ya kumalizia mipango yao na pacha wake jinsi ya kusolve tatizo….joy akaendelea na whatsapp akiwasilina na pacha wake….akuta msg ya joar
Joar:sasa wewe mama m nishapanga kwaza kesho uje wewe na diary yako na document zote muhimu ulete hapa tuziweke siehemu na diary tuchome moto..
Baada ya hapo nakupeleka sehemu tunaitoa hiyo bikira yako kwa utaratibu mzuri na kisha sasa kesho unamtafute huyo juma na tunamuweka kati..
Joy:mmmmmmmmmmmh mama kuchoma diary tena wangu…sema mama nimchukue juma uje ulale nae kama tunavyofanyanga kwa wengine na kisha juma atashidwa kuaaamini aliyoyasoma kwenye diary….

Joar:aah sasa mama ushanifanya mwenzio kahaba kuukuu hata kama Napata pesa sio kiivyo wangu yaan nilale mpaka najumaaaa du…

kupata full story bonyeza hapa
                                                                """full story"""