BLANDINA sehemu ya pili


SEHEMU YA PILI
BLANDINA
SIMULIZI ZA KWELI
0713592224

Muda wote huu blandina alikuwa anaomba mungu tu na bila mafanikio,usiku huo usingizi haukuja kabisa blandina alianza kukonda kwa mateso aliyokuwa anayapata toka kwa baba yake mzazi alikuwa analia muda mwing na kuonekana  mwanachuo mwenye uzuni lakini marafiki zake walijitahid sana kumfurahisha kiasi cha kuwa kumfanya blandina kusahau matatizo yake pindi alipokuwa chuo.
Siku moja blandina alimuomba mpezi wake ima kulala nae japo kwa wiki moja hivi na ima alikubali na kuhamia wenge kwa blandina lakini njiani toka chuo (udsm)mpaka mwenge alikutana na vikwazo kibao maan wanatoka tu chuo mwakashambuliwa na nyuki wengi sana wengi walimfwata imma na kumgata sana kiasi cha kwenda kulazwa hospitali ya chuo na baada ya kupona siku mbili baadae wakaendelea na safari yao ya kwenda mwenge toka chuo waka kod tax ha ilipofika maeneo ya  chuo cha ardhi ikagongana uso kwa uso na tipa la mchanga na dereva na ima waliumia vibaya inagawa blandina alichubuka kidogo tu.baada ya ajali hiyo imma alipelekwa muhimbili na kulazwa wiki tatu ,baada ya kutoka hospital imma akamuomba blandina amrudishe tu chuo maana anahitaji kukuaa karibu na wezake wamfundishe vile ambavyo ame miss kindi chote alichokuwa anumwa..
Balndina alikubal na imma alirudi chuo na blandina akaendelea kukaa mwenge na usiku mmoja baba yake akamtokea tena kumwambia kuwa kuanzia sasa atakuwa anakuja kulala nae maan inaonekana unahitaji sana mwanaume wakulala nae..blandina ikabidi aende kwa mganga wa asili na kumuomba mmsaidi na mganga apongalia aligundia kuwa blandina anamajini ya ajabu makubwa kuliko yote yanayopatikan hapa Tanzania na kumwambia mama sina uwezo wa kukusaidia lakini unaweza kuwa unavaa surulia kila siku,..sawa…blandina akashangaa sasa huyu mganga m namajini na suruali wapi na wapi…na baada ya kusema hivyo mganga alitikisika na kushika shingo ishara ya kukabwa na baada ya muda wa dakika kadhaa mganga alikufa mbele ya blandina huku mpovu yakitoka mdomoni..blandina alikimbia na kurudi zake nyumbani na usiku huu baba yake hakumtokeaaa…
Usiku aliofwatia pia baba yake alimtokea na kusema umeona nilichomfanya mganga wako fek ,sasa wewe bado kidogo hako kaima nitakauwa vibaya nitakakanyanga na treni au nikachome moto..ngoja kaendelee kukufwatilia kataona mama na leo nakuja kulala na wewe hapa hapa kukulinda mwanangu..
Ingawa baada ya kusema hayo baba yake alitoweka na hakuja kulala siku hiyo..
Kumbuka blandina alikuwa ni binti mrembo na alikuwa na mguu mzuri na shape kitu kilichomfanya apende kuvaa sket muda wote kwa kuwa zilikuwa zinampendeza sana..na usiku alikuwa anajiachia tu na nightdress ukizingatia dar joto basi nightdress ilikuwa mahala pake..
Usiku mmoja baba yake alimtoke na kulala naye ingawa hakufanya chochote,zaidi ya kumpa usingizi mzito na alipoamka asubuhi alikuta msg leo tumelala wote wangu sishange sana kuona shula ka pili limetumika…
Blandina hakuamini macho yake akampigia simu mama yake na kumuuliza baba yake kama alilala huko nyumbani na mama yake aliwambia ndio ingawa alishangaa kwa nini blandina kamuuliza baba yake…
Alipojaribu kumuuliza blandina kwa nini unataka kujua baba yako kalala wapi hakujibu kitu ……
Baba yake blandina ikawa ndo mtindo wake wa kulala na mwanae ingawa ahakujamiana nae na blandina ilifika kipindi akazoea aje alale asilale shauri yake yeye akawa anfanya yake na huku akimfanyia mpango wa siri wa kumuuwa kwa risasi au sumu lakini pesa zake nyingi zilirudishwa na aliyokuwa nawatuma maana pindi tu walipotaka kufanikisha kumuua baba yake alikuwa anageuka na kuwa mmoja ya wanafamilia ya mtu ambaye ametumwa kumuuwa na kufanya swala la kumuuwa kuwa gumu sana ..
Huku baba yake akiwa anamiliki utajiri wa kufaa mtu ,blandina alikuwa naishi maisha ya hali duni kias kwa kuwa alikuwa hapendi kutumia mapesa ya huyo mzee wake mchawi..mara nyingine akiamka alikuwa anakuta milioni 10 kitandani na yeyealikuwa anenda kuziweka benk na hazitumie hata shilingi mmoja ..zaid alimtegemea sana mama yake ambaye naye alikuwa na biashara zake za alali na zilikuwa zinampa vizuri ukichanganya na boom matatizo madogo madogo aliweza kuyakabili..

Blandina hakusita kuendelea na mpenz wake ima ingawa kwa mashariti ya kuto kufanya mpenzi mpaka waowane na jambo hili lilimtesa san ima,kuna muda walikusana na kutaka kuachana baada ya ima kushindwa kuvumilia n kwenda kutafuta msichana huko barabarani na kutembea nae.na siri zilipofichuka kulikuwa na ugomvi mkubwa ingawa wakasuluhisha na Kuendelea na naisha yao kama wapenzi.


KUPATA STORY KAMILI 
                                   BONYEZA HAPA CHINI...
                                                                                      FULL STORY