Jack:labda wa kiume…..
Dani:hapo umenena labda wa kiume…
Ali:m bikira wa kiume nilikuwadhani na juma kumbe juma anawatoto na familia du..hawa mwanaume anaweza kukosekana…
Juma;acha upumbavu wewe…..
Joy;kwa kweli swali lako rahisi sana humu ndani hakuna bikira kabisa hasa mwaka wa tatu wote sisi ni wazazi na tunafamilia zetu…
Jack;kweli mama wengine ndo magume gume wakimbilia viwafunzi kama dani hapa…
Dani:muniache na mwanafunzi wangu kanipenda mwenyewe…sasa huu mjengoni hakuna bikira unasikia baba b…
Juma:baba b nini ??
Dani:ndo nakwambia hivyo bi kira hakuna hata joy mwenyewe sio bikira wala nini alikuwa demu wangu zamani…
Joy:we ukome usinizeeshe nilitoka na wewe lini na wapi koma…juma wangu m bado bikira mwaya wasikuchoshe hawa…..
Jack:huyu joy bikira basi bikira wa kichina….
Ali ;tuachane na hayo sasaa joy fanya mpango ukanipe ile assignment nikakop mchizi wangu….
Joy:wewe koma….
Juma:assignment ya nani ..unataka ali.?
Ali; wewe joy kwani tulia..?
Juma:mama naomba hata asione cover page ya assignment yetu dogo kazidi kutegea mno huyu….
Basi baada ya muda kidogo wakaamua kuondoka café wote na walipofika nje ya café kilajoy na jack wakaelekea bweni kwao na huku juma ,ali na dani wakarudi zao rum.walipo fika juma akukumbuka kuwa alikuwa na ofa ya kwenda club na jack ikabid amuandike msg kwenye whatsapp kumuuliza kama ofa bado ipo au la.na jack akamjibu ofa inefutwa hatoenda tena na mwanaume wenye familia na watoto wawili..huku kila siku unamdanganya rafiki yangu kuwa unampenda kumbe huna lolote..mwanaume hovyo wewe…basi juma akajaribu kijitete na ikashindikana…
Juma:oya niye kobe mmenipeperushia bahati yangu mbuzi wakubwa…
Ali:nani kobe?
Dani:bahati gani tena?
Juma;niliahidiwa kwenda club na jack sasa ishu ya kuwa mimi nawatoto imearibu kila kitu..
Dani:aaaaaaaaaaaaaaaaaahh ahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ali:poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mr bikira
Juma:chekeni tu ipo siku yenu
Ali:achana nae kwaza jack mapepe sana…
Dani;kweli usije ukakutana na Yule ticha anayesemaga anamchukua akakuuwa bure..
Ali: tena kweli Yule ticha nasikia ana ngoma…
Juma; acheni zenu mshaaribu msharibu basi tena……
Huku Kwa jack na joy…
Joy akaanza kuwaza kwa nini swali la bikira aliulizwa yeye na sio jack na kwa nini juma aliambiwa unasikia… na dani>>>?akakosa majibu?baada ya kuwaza kwa dakika 30akakumbuka alimwachia juma pochi yake na kunauwezekano juma akawa amesoma diary yake..
Ghafla presha ikaanza kumpanda kunagalia picha yake anayowekaga kama alama ilikuwa imehamishwa ukurasa akajua kabisa hapa tayari kimeshanuka kuwa mimi bikira..na sasa kasoma nin kingine..joy presha ikazidi kumpanda..sasa huyu hajasoma kuhusu wanaume walikwisha nitogoza,nyumba niliyojenga kwa siri kwa pesa za mwalimu komba..mungu wangu nimekwisha..mawazo yazidi kumuandama muda wote huo jack alikuwa anaoga si unajua wanawake wanaoga nusu saa..
Kurud ndani akamkuta rafiki yake kavimba kwa kuwaza kawa wa blue ghafla..
Jack:nini tena wewe….?
Joy;hamna shoga…
Jack:wewe au ndo hilo tumbo..
Joy:bora lingekuwa tumbo….
Jack:sasa nini hilo tumbo dawa yake ni kuzaa tu..
Joy:mama naomba panadol japo nipunguze haya mauumivu..
Jack;panadol ya nini chukua castle hapo juu jipige dripu ulale..
Joy:kweli mama nipe hiyo na glass
Jack; hayo ndo maneno..
Piga vyombo mama utulie Leo siwaelewe elewe wewe na juma wako mara huyu alale kwenye discussion huyu nae katoka kula tu kaanza kuumwa ghafla sasa ndo nini?jack anajissemesha mwenyewe bila kubapa majibu akajikuta anaropoka..
‘’’mbona majanga haya jamani”””
Huku akimishika joy mgongoni asijue kinachomsibu na kumpoza kwa maneno matamu.
Kkunywa mama usiogope na klub siendi tena shoga umenunua hivyo club nitaendaje sasa cha msingi naenda kuleta nyingine nne na kiroba kimoja tunywe tulala au unasemaje bidada…
Joy;hakujibu kitu…….
Jack;poa hata m naaza kununuwa tena…du..sumani hii jamani..
Jack:halafu m nahisi haka katakuwa kajuma tu maana nilishawambia humtaki kanagagania sasa nikikutana nako huku kwaza ofa ya kwenda naye disco haipo tena na ni matusi tu…gumeme gume liso na haya mtu anawatoto nyumbani ila bado tu angangania na huku….baba b bana,,,
Alikuwa anaonga hayo huku akichukua chupa za bia na pesa ili aende bar akanunue bia za kutosha kwa ajili ya mama joy nay eye kujipa raha …japo joy apunguze mawazo..
Huku jack akiyawaza hayo….
Joy naye anawaza yake sasa ataweza je kutatua hili tatazo kwa wakati kabla halijazua balaa kubwa..sasa hapa jamaaani mimi naumbuka sasa mama yangu..aaa mgoja nimpigie pacha wangu japo anipe ushauri mm nisimpigie nichati naye kwenye whatsapp ..
Joy:hy