Ilikuwa ni ngumu sana kwa juma kuamini kuwa katika chuo cha CBE mwaka wa tatu wa masomo kuna uwezekano wa kuwepo mwanafunzi bikira .lakini siku moja kitabu kidogo kiitwacho diary ya mrembo wa chuo joy kilimfanya asitaajabu na kupigwa na butwaa kuu….
Bikira wa chuo
Simulizi la kusisimua la kisa na mikasa inamkuta joy katika kutunza bikira yake,je kamtuzia nani au ni juma rafiki yake mkuu?
SIMULIZI LINAANZA HAPA…
Siku ilianza poa maeneo ya CBE dodoma wanafunzi wakiendelea na ratiba zao za kawaida na huku na kule nao joy na juma walikuwa wako bize sana kumalizia assignment waliyokuwa wamepewa na walimu wao week mbili zilizpota..
Joy:dear ngoja nikanunue japo maji maana nasikia kiu kweli?
Juma:poa mama nichukulie na mimi pespi baridi ya kopo?
Joy:poa baba huna haja ya kutoa pesa wewe endelea kuangalia wapi tunaweza pata material ya kumalizia hiyo assignment>>>
Juma;poa boss wangu ndo maana nakupendaga….
Joy;haya bana nipe hiyo pochi yangu kwanza
Juma akampa pochi yake na wakati anampa aligundua kuna kijitabu kidogo ambacho hajawahi hata siku moja kukiona machoni mwake.basi joy alitoa pesa na kuondoka na kipochi kidogo na simu zake mbili.huku nyuma juma alibaki na ile pochi kubwa ambayo joy huitumia kuweka madaftari ,laptop na mtandio na mambo mambo mengine ya kike....basi juma hakufanya ajizi akaifungua ile pochi na uchukuza kile kijikitabu na kuanza kukiperuzi…katikati ya kiile kijikitabu alikuta picha ya familia na alipoangalia vizuri aligundua ni familia ya joy ,joy wenyewe akiwemo na mama na baba yake pamoja na wadogo zake wawili..
Akataka kukirudisha maana alihisi kama anaweza kufamaniwa bure na urafiki ukaisha siku hiyo.moyo wake ukasita na kumfanya asome japo kurasa moja nipo alipokutana na maneno haya..bikira yangu inazidi kunipa wakati ngumu..God help me pleas……
Juma alipata na bumbuwazi sana aliposoma hicho kipengele ikabidi asome tena vizuri ..haamini macho yake hivi hichi kijitabu ni nini?kuchek vizuri ni diary akaanza kuamini kuwa yawezekana kilichoandikwa hapa ni ukweli mtupu.
Akaamua kukirudisha na alipokuwa nafunga zipu joy akawa amefika na kuanza kumuuliza we mwanaume nini na pochi yangu..
Juma:a mama nilipenda kuangalia keyholder chako tu mama.
Joy:wewe shauri yako …chukua soda yako …
Juma:asante wangu..
Joy:umepata hayo material baba..
Juma: bado yaani net inasumbua sana.
Joy:net wapi wakati hujatafuta…
Juma:sasa mama basi njo niendelee kutafuta usihofu..
Wakati wote huo juma mawazo yote hayapo kabisa kwenye Assignment alichokuwa anawaza na yale aliyoyasoma kwenye diary..huku alikuwangalia kwa jicho la umbali..jicho moja kwenye laptop jicho la pili kwa joy mawazo yote ni hiyo bikira je ni kweli na nikimuliza itakuwaje…. Du mbona majanga haya sasa…mwaka wa tatu bikira tena CBE du ..kweli hakuna lisilowezekana..
Ghafla joy akawita juma baada ya kuona yuko mbali sana kimawazo
Joy:juma dear…dear….hy juma (ikabidi amshike paja kidogo kumshitua)
Juma:nam mama…
Joy : unawaza nini mpenzi mbona sikuelewi..
Juma:hamna kitu..
Joy: acha kunidanganya wewe ..mimi nakuja wewe kuna kitu unaweza unaacha tufanye assignment unawaza waza sijui unawaza nini..’’akamtania””au ndo unamuwaza wifi nini?
Juma: acha maneno yako mama… sema najihisi siko poa tu wangu.
Joy: sasa tufanyeje na assignment ndo hiyo hata nusu bado..
Juma: kama vip tuifanye kesho asubuhi unaonaje…
Joy:acha kabisa hizo habari kesho naenda zangu kusuka ..
Juma:mbona hizi nywele umesuka juzi tu wangu…
Joy; mambo ya kike baba..hii staili sijaipenda nataka akanisuke stail nyingine..
Juma:sasa sikia tufanye usiku unaonaje tukifanya leo saa tatu usiku pale kwangu..
Joy:we koma kwa watu usiku sitaki juzi niemeenda discussion kwa kina peter wala hatukusoma tuliishia kuchezeana tu na kuangalia movie usiku baba ….mmmmm …big NO……
Juma:basi poa sema wewe wangu ..maana mimi leo sijui nikoje …
Joy:uko poa kujichetua tu ili nikuanche hapa uendezako kwa vichemchede vyako….
Juma¨wewe wa sema mama…
Joy: kama vip nipe mimi hiyo laptop wewe kaa upande huu..nifanye wenyewe…
Juma:kweli wanawake na maendeleo…waaribie mama.
Joy: waaribie wenyewe lione umefurahi mimi kufanya wewe unakaa tu mwanaume mzima..
Juma:mambo kusaidia wangu asante kwa kuliona hilo.
Basi wakati wote juma alipokuwa amekaa pembeni akimcheki joy akiperuzi material kwenye net wazo lake lilikuwa moja tu..bikira wa chuo nipo nae hapa meza moja kiti kimoja..du..wakati kuna wanawake hapa hapa washatoa mpaka mimba tatu huyu mama hamjui mwanaume..mtoto mzuri kama huyu du..mbona majanga haya sasa…CBE tupu juu hakika ..tupo juu sana …kuanzia sasa kimoyo moyo nitakuwa na kuita bikira wa chuo au mwanachuo bikira…
Wakati juma amawaza na kuwazua huko joy alikuwa ananedelea kupata material mabali mbali kwenye mtandao yanayoendana na assignment aliyopewa na walimu wao..
Ghafla
Jack akaja kwenye meza yao:jack ni rafiki wa joy na wanasoma waote darasa moja..
Jack:mambo zenu..
Joy:poa
Jack :wewe juma mambo….
Juma:aaaaah jack poa mama za kwako…
Jack:muone kwanza kazi kutegea tu ….
Joy: bora wewe useme mama maana huyu juma kimeo kweli bora ningekuwa na wewe group moja
Juma:mmmmmmmhhh
Jack :we guma tu …mwenzako anafanya kazi..
Joy: nipe habari shoga…
Jack:mama najisikia kwenda disco mwezio
Joy: majanga sasa..disco kesho tunakipindi mama…
Jack:kipindi chenyewe saa sita na mwalimu anaweza asije sasa si bora tukajirushe tu leo…
Joy; mama mimi leo sitoweza kwa kweli na assignment haijaisha na pia kesho naenda kusuka ..
JacK:mmm basi poa sijui nitaenda na nani sasa…
Juma:m mimi mama nichagume mimi>>>
Jack:wewe mmmh nani aende na wewe unategea kufanya assignment..
JUma:mama assignemt tofauti na disco wangu ,disco nitacheza kwa moyo si unajua ma assignment haya yapo tu,,,
Jack:any way nikikosa mtu..juma utakuwa chagua langu la mwisho…
Juma:nakuombea mungu ukose kabisa…
Joy: wewe baba yaaani disco roho juu assignment unasema hujisikii vizuri sio…
Jack:achana nae kama kwenda nae itakuwa kamamlinzi tu..
Joy:mama naomba uende utuache tumalizie assignment yetu tutaonana room
Jack:poa wangu..
(jack akaondoka zake)
Juma:da bora jack amepita hapa maaana amerudisha japo mudi yangu kidogo…
Joy: mudi imerudi sio basi malizia kuchanganua haya mafile hapa .
Juma:poa mama nipe basi hiyo laptop..
Joy:ukimaliza hapo utanishitua m nataka nilala japo dakika ishirini tu wangu maana jana nilikesha naangalia muvi
Juma:muvi gan tena hiyo mama.
Joy:ile ile season yangu ya AVATAR…
Juma: na wewe na avatar du watakuja kukupa tuzo wangu..
Basi baada ya masaa kama mawili hivi walifanikiwa kukamilisha assignment yao na kila mtu akenda zake rum..kwa siku hiyo kulikuwa hakuna kupindi kabisa kwa course yao .hivyo ulikuwa muda muafaka wa kila mmoja kufanya ratiba zake atakavyo..
Juma alipofika rum alikutana na tu akazisha mjadala ..kwa wezake aliowakuta pale rum na mazungumzo yalikuwa hivi
Juma: niaje wakuu wa kazi..?
Wezake (ali na dani):poa jo….
Juma:wewe ali umetegea pindi..wezako wako class muda huu…
Ali: acha kunirusha wewe m sisomagi mapindi ya ule ticha huwa nafanya tu mtihani.
Juma:shauri yako..
Juma:oya mi na swali wa kuwa wa kazi hivi unaweza amini kuwa hapa CBE kuna mtoto bikira..?
wezaKe:aaaaaahhhhhhhhhh aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhh
juma:manacheka nini hilo nyie ma mbulula……
Wenzake:aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh ,,,,,,mbona majanga……ee
Dani: labda salome…..
Ali:salome huyu huyu mama yangu….mzazi akiwa bikira Yule naacha chuo…
Juma: sasa tatizo nini hapa chuo kuna wasichana mabikira wengi tu..
Dani:labda uliwaza wewe jo>>>
Ali:kashaanza kuachaganyikiwa huyu..mwanangu mwaka wa wisho huu unaaza kuweuka du…
Dani: ngoja nikwambie juma hapa chuo toka first year mpaka sasa sijawahi sikia kuna msela kapata demu bikira…
Ali: wewe vero demu wangu alikuwa bikira sikuwaambia nini?
Juma:aaaaaaaaaaaaaH huyu huyu vero demu wa uridhi…kwanza demu mwenyewe umeridhi na unasema alikuwa bikira du…
Dani:vero wako kaja hapa chuo kashazaa sasa bikira kaitoa wapi?
Juma:hata mimi nilikuwa siamini kama kuna demu bikira ila sasa anza kuamini amini kidogo..
Dan: nani bikira juma unaemfahamu wewe..mimi na al indo wazee wa chuo hichi tunajua kuanzia wa certificate mpaka degree na hatujui bikira sema wewe nani bikira ….
Ali:labda yeye bikira wa kiume….
DaNI:ahaaaaaaaaaaaaa sasa nimekuelewa bikira wa kiume sawa ali wako wengi sana hapa chuo..
Juma:acha upumbavu wewe nasema bikira wa kike namjua mmoja..
Ali:tuambie nani mwanangu……..
Dani;tuambie basi……
Ali: nakununulia msosi wiki zima nipe hiyo news tuone….
Juma:subiri kwaza upelelezi bado haujakamilika..
Dani: upelelezi wa nini wewe leta maneno hayo tukauze gazeti…
Ali:achana nae hana jipya labda yeye wenye…ndo bikira …
DaNi:kwaza tuambie mwaka wa huyo bikira yupo mwaka gani…
Ali:tupe mwaka sisi tutamitafuta wenyewe..
Juma;mwaka wa nini chuna wewe kila kitu kitakuwa hewani soon na lazima nitamuoa huyu mtoto..
Ali akahisi kitu….
Ali:aaaaaah juma usiwe unatuset hapa kumbe unamaanisha hako kamlupo kako kashida disco joy ndo bikira…..
Dani:AAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAHHHHHHHHHHHHHHHhhhhhhhhhhhhhhhhh
Dani: aaaaaah yawezekana alikuwa namaanisha joy ..du we ali kichwa kweli….
Juma: wali nilikuwa simaanishi joy nyie acheni kunizingua….
Dani:baba joy demu unamfukuzia kuanzia first year mpaka leo teeeeeee du…
ALI:alafu anamdangaya kuwa yeye bikira joy bikira tangu lini..hivi wewe unafikiria kuwa bikira ni jambo la kitoto huyo demu wako wanayeshida bar kama popo awe bikira tangu lini…
DAni:unawafahamu mabiikira wewe mabikira hawapatikani hapa town labda uende huko geza ulole…huko tena wapo primary siku hizi secondary nehi….
Juma:nyie wasema ngoja m nikale zangi nije kulala ..
Ali:bora du ukanunulie menyu baba bikira…
Juma: we jina gaNI ILO…
DANI: kweli inabidi tumuite baba bikira linamfaa.
Juma:oya hilo jina silitaki tutakosana bure..
Ali: sawaa baba B tumekusikia…
Dani:kweli baba B upo juu tendezetu tukapige menyu we ali naomba simu yangu iko hapo kwenye meza.
Wakatoka wote na kuelekea kwenye mgahawa ulikuwa karibu kabisa na hapo wanapoishi nikimaainisha mgahawa wa chuo..maana ali alikuwa ma bili yake pale..wakiwa njia walikuwa wakiendelea na mazungumzo na ali na dani walikuwa wanamuita juma baba B ,ingawa juma alijitahidi kulikataa ikashindikana..
Wakiwa café (mgahawani)
Dani:huu msosi wa leo hamna kitu kabisa unahitaji kishuhio…
Ali: kweli jomba msoso kama wa jela vile unauzwa bei ghali:
Ali:juma…aaaah samahani baba B fanya mpango wa soda basi
JUma:nani baba b..wewe acha zako m sina pesa ya kuchezea kwanza soda ni anasa….
Dani:baba b acha hizo faya mpango nakabwa wenzio hapa……
Juma:poa kacchukueni soda mimi niletee pepsi barid….
Ali:hapo ndo ninapokukubali baba bikira….
Dani:aah ah unaharibu sasa ali…
Juma akaonyesha uso wa kununa na kukasirishwa na alichokisema ali….
Ali:sorry bro ..ulimi hauna mfupa nisamehe bure…
Juma hakusema neno,basi ali akaenda kuchukua soda na wakaendelea kula ,wakati wanamalizia kula ghafla joy akatokea akiwa na jack…ali alikuwa wa kwanza kumuona…
Ali:mmmmmmh mtoto nyoyo lote lile awe bikira…sidhani .labda mchina…
Dan:mbona unaongea mwenyewe wewe……
Ali:huja waona watoto hao wanakuja…..
Dani:ehhhhhhhhhhhhh sasa baba b joy huyu hapa ngoja nimuite….
Jum:We unamuita wa nini muache aende zake..
Dani:we ali muite kuna kitu nataka kumuuliza….
Ali akwaita kwa sauti ya juu….joy……….joy……………..
Joy akageuka akwaona wote akawapa ishara kuwa anachua chakula na atakuja kwenye meza yao..
Huku nyuma..
Juma;mambo gani unayafanya wewe m nampango wa kwenda kulala sasa unawaita wa nini?
Dani:we nenda kalale tatizo nini….
Ali:kweli baba b ukiondoka basi wewe kweli ni baba b ukibaki kuanzia leo jina la baba b limekisha……
Juma:hapo sawa….
Dani:unaakili wewe lakini jina linaisha kwako mimi huyu ni baba b …baba b milele..
Basi joy na jack walinunua chips na soda na kwenda kuketi meza moja na wakina juma na mzungumuzo yakanza huku juma aliwa na wasi wasi mkuu..
Ali:mtoto wewe mbona mzuri hivyo……akimtania joy
Joy; we nianche kila siku unanisifia tu …
Ali:mama m nakupenda sema tu nashindawa kukwambia….
Jack:haya majanga sasa…..
Dani:tema vorco tema vorco ninja wangu….
Jack ; na wewe dani nini…
Joy: ehhhhhhhhh dani vip Yule demu wako dent..
Dani;mtoto Yule yupo tena nilimkuta bikira asee lazima nitaoa hule…
Juma akaguna kidogo……
Ali:juma unaguna nini tuambie…
Joy:labda nay eye alimkuta bikira wake huwezi jua…
Ali:hapo umenena joy lazima atakuwa amemkuta bikira
Juma:acheni kunichengua nyie bana m nimeguna ni usingizi tu ndo unanipa stress hapa…
Dani; sasa sawa baba b,
Joy; anaitwa nani ….?
Ali:baba B….yaani big boss
Joy::aaaah..ok baba b nimeipata hiyo….
Juma:mmmmmmmmmmmmmmh
Joy:eeeeh baba b nimeshalidaka jina…baba boke,au baba ben,au baba bet…kumbe wezetu una mtoto unatuficha…
Ali:mwambie afunguke wambie ….mtu mzima huyu….
Jack:hapo sasa….mm sitak mwezenu…upole wote huo kumbe una….litoto nyumbani..
Dani:tena sio mmoja….
Jack:wangapi….
Ali:wa wiwili tu sio wengi….
Juma; eeeeeeeeeeh na mke na watoto tatizo nini
Joy:tatizo ni kuficha tu baba b….mcha maradhi..kifo….
Jack:humuumbua shoga….
Ali:eeeeh joy ngoja nikuulize swali????
Joy:uliza mwaya…..
Ali:hivi joyhapa CBE wewe sio mgeni si ndio….
Joy: sasa ndo swali gani hilo….?
ali: nakuja kwenye swali sasa ..hiv hapa cbe kunauwezekano wa kuwepo mwanamke bikira kweli..?
ali: nakuja kwenye swali sasa ..hiv hapa cbe kunauwezekano wa kuwepo mwanamke bikira kweli..?
Jack na joy wakaanza kucheka kwanza na kugonga wenyewe….
Jack;ali bana ndo maswali gani hayo tena mpaka umenifanya nishibe gafla mwezio..
Joy:Mmmmmmmmmmmmmmh humu ndani cbe
KUSOMA SIMULIZI YOTE